• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

DC Magala: “Wananchi Tujitokeze kwa Wingi Kupiga Kura Oktoba 29”

Posted on: October 13th, 2025

Na, Lunanilo Ngela

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mheshimiwa Christopher Edward Magala, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura ifikapo Oktoba 29, 2025, ili kutumia haki yao ya kikatiba kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. 

Akizungumza Oktoba 13, 2025,katika kikao kazi kilichowakutanisha wenyeviti na watendaji wa vijiji, watendaji wa kata pamoja na maafisa tarafa, kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkapa, Mheshimiwa Magala alisisitiza umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika uchaguzi,sambamba na kulinda amani na utulivu katika kipindi chote cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Amesema kuwa viongozi wa ngazi za vijiji, kata na tarafa wanapaswa kuhakikisha wananchi wanapata elimu ya uraia, wanatunza amani na mshikamano, na kuepuka vitendo vyote vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa jamii kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.

Kwa upande wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Nanyumbu SSP - Severine Msonda, aliwahakikishia washiriki wa kikao hicho kuwa Jeshi la Polisi limejipanga kikamilifu kuhakikisha hali ya ulinzi na usalama inaendelea kuimarika katika kipindi chote cha uchaguzi, ili wananchi waweze kupiga kura kwa amani na utulivu.

Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 unatarajiwa kufanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, ukisimamiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo Watanzania kote nchini watapata fursa ya kuchagua viongozi watakaoongoza kwa kipindi cha miaka mitano(2025 – 2030).



Matangazo

  • Tangazo la Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu Robo ya I na ya II 2025/2026 September 18, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC Magala: “Wananchi Tujitokeze kwa Wingi Kupiga Kura Oktoba 29”

    October 13, 2025
  • Nanyumbu Yapokea Bilioni 1.84 ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    October 09, 2025
  • Nanyumbu Yaadhimisha Siku ya Usafishaji Duniani kwa Kufanya Usafi Mangaka

    September 20, 2025
  • Elimu ya Saratani ya Matiti Yatolewa kwa Viongozi na Watoa Huduma za Afya ya Msingi Nanyumbu

    September 12, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.