• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

DC Chaurembo azindua Kampeni ya Kupinga Ukatili kwa Wanawake na Watoto

Posted on: July 20th, 2023

Katika Picha ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Mariam Chaurembo akizindua Mwongozo wa Kamati ya Ulinzi na Usalama kwa Wanawake na Watoto

Na; Lunanilo Ngela 

Kampeni ya Kupinga Ukatili kwa Wanawake na Watoto imezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Mariam Khatibu Chaurembo mapema Julai 20, 2023 katika mkutano uliofanyika Shule ya Sekondari Mangaka.

Katika Mkutano huo, Mkuu wa Wilaya amewaeleza wananchi kuwa lengo la uzinduzi huo ni kuunganisha nguvu za wadau na jamii katika juhudi za kutokomeza ukatili kwa wanawake na Watoto.

Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi kujiepusha na vitendo vyote vinavyopelekea watoto kukosa haki za msingi ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua wale wote ambao kwa maksudi wanafanya ukatili kwa wanawake na Watoto.

Nae Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu Mhe. Yahya Ally Mhata amewataka wanajamii kuwalea Watoto katika misingi ya mila na desturi za kiafrika ikiwa ni pamoja na kutolitenga kundi la walemavu kwani wana haki ya kupata huduma bora na kuthaminiwa katika jamii.

Katika Mkutano huo Mkuu wa Wilaya amekabidhi baiskeli kwa mlemavu mmoja iliyotolewa na BAKWATA Wilaya ya Nanyumbu.

Uzinduzi wa Kampeni hizo unaongozwa na Kauli Mbiu isemayo “Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto Inawezekana”  


Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Mariam Chaurembo (kushoto) akikabidhi Mwongozo wa Kamati kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg. Ibrahim Mwanauta

Katika picha ni Afisa Ustawi katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Fanuel Machumu akielezea malengo ya Kampeni

Mwanafunzi Roy Joseph wa Shule ya Msingi Muungano ameshangazwa na kitendo cha wanaume kuwapiga wake zao na kuwataka wanajamii kuishi kwa amani

Washiriki wa mkutano wakisikiliza kwa makini mada zilizotolewa katika Mkutano wa wadau uliofanyika viwanja vya Shule ya Sekondari Mangaka

Wanafunzi wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa katika mkutano

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii (Elimu, Afya na Maji) na Mjumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango katika Halmashauri ya Wilaya Nayumbu Mhe. Thabit Geugeu akifunga Mkutano



Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.