• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Baraza la Madiwani Nanyumbu lakutana kujadili hoja za CAG 2016/2017

Posted on: July 16th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Gelasius Gaspar Byakanwa akizungumza katika mkutano maalumu wa Baraza la Madiwani lililokutana kujadili Hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kwa kipindi kinachoishia Juni 30, 2017

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu iliandaa hesabu zake kwa kipindi kinachoishia Juni 30, 2017 kwa kuzingatia viwango na vigezo vya ufungaji wa hesabu kwa taasisi za Umma (IPSAS) na taarifa hizo kukabidhiwa kwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nanyumbu imepata Hati safi (Unqualified Opinion). Jukumu la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa fedha za Serikali ni kukagua fedha zote za Serikali Kwa mujibu wa Ibara ya 143 ya katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, 1977 (kama ilivyorejewa  2005) na kifungu cha 45 na 48(1) cha Sheria ya Fedha za Serikali za mitaa No 9 ya 1982 (kama ilivyorejewa  2000) pamoja na kifungu cha 10(1) cha Sheria ya Ukaguzi No 11 ya mwaka 2008.

Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nanyumbu Ndg Hamis H. Dambaya amesema kuwa pamoja na Nanyumbu kupata Hati Safi, kuna mambo ya msisitizo ambayo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa fedha za Serikali alisisitiza na kuitaka menejimenti kutoa majibu. Aidha Halmashauri imetoa majibu kwa hoja zote 25 ndani ya siku 21 kama sheria ya ukaguzi No 11 ya mwaka 2008 inavyoelekeza.

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mh. Gelasius Gaspar Byakanwa akizungumza katika Mkutano huo ameipongeza Nanyumbu kwa kupata Hati safi. Aidha, Ameitaka Halmashauri kuhakikisha inakuwa makini ili kuepuka hoja. Mkuu wa Mkoa amesema ni mhimu kwa Halmashauri kuomba ushauri wa CAG hasa kwenye zabuni zote kubwa ili kuepusha hoja.  Mh. Byakanwa amekemea tabia ya wanasheria wa Halmashauri kupoteza au kushindwa kesi mahakamani kwa makusudi na kusababisha hasara kwa Serikali. Aidha, ameitaka Halmashauri  iweke kipaombele katika kulipa madeni, kuongeza vyanzo vya mapato ya Halmashauri na kuvisimamia ikiwa ni pamoja na kushirikiana bega kwa bega na Mkaguzi wa ndani ambaye ni jicho la Halmashauri.

Mkutano wa Baraza la Madiwani umekamilika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu huku Waheshimiwa madiwani wakiweka mikakati mbalimbali ya kuhakikisha Halmashauri haipati hoja katika mwaka wa fedha 2017/2018.



Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.