• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Baraza la Madiwani Nanyumbu lachagua viongozi wapya 2023/2024

Posted on: August 2nd, 2023

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Benjamin Masimbo akifungua Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Madiwani

Na, Lunanilo Ngela

Wajumbe wa Baraza la Madiwani Nanyumbu wamemchagua kwa kishindo Mhe. Yustus Bonamali Mmuni, Diwani wa Kata ya Nandete kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmasahuri ya Wilaya hiyo katika uchaguzi uliofanyika Agosti 02, 2023 ukumbi wa Halmashauri.

Katika uchaguzi huo, jumla ya wapiga kura 21 kati ya 22 wamepiga kura za ndio kwa Mhe. Yustus Mmuni wa Chama Cha Mapinduzi na kumfanya mgombea huyo kuendelea na wadhifa huo kwa awamu ya tatu tangu mwaka 2020.

Baraza la Madiwani limewachagua pia Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Halmashauri ambapo Mhe. Benjamin Raphael Masimbo atakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha Utawala na Mipango (FUM), Mhe. Joseph O. Martin anakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii (Elimu, Afya na Maji) huku Mhe. Matindiko A. Matindiko akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira.

Katika Baraza hilo Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Ibarahim John Mwanauta amewasilisha Taarifa ya Utendaji kazi na Uwajibikaji wa Halmashauri kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 na kujadiliwa na wajumbe wa Mkutano ikiwa ni pamoja na Kupitisha Ratiba ya Vikao vya Halmashauri na Kamati za Kudumu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Mariam Khatibu Chaurembo akizungumza na wajumbe wa Mkutano huo amesema kuwa, zao la mbaazi katika msimu huu wa 2023/2024 litauzwa kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambapo wanunuzi watanunua katika minada ya wazi.

Wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Madiwani wakifuatilia kwa kina taarifa ya Utendaji Kazi wa Halmashauri kwa Mwaka 2022/2023

Mkutano wa baraza la Madiwani ukiendelea katika Ukumbi wa Halmashauri

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Nanyumbu Cde. Rashid Ally Mrope na Katibu wa CCM Wilaya Ndg. Salome Luhingulanya wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Madiwani

Watendaji mbalimbali wa Serikali wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri 

Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Rudrick Charles akiwasilisha Taarifa ya Utendaji Kazi wa Halmashauri kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri

Watendaji mbalimbali wa Serikali wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Njaro Awataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuzingatia Katiba, Sheria na Miongozo ya INEC

    August 04, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.