• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Baraza la Madiwani Nanyumbu kujadili Makadirio ya Bajeti 2019/2020

Posted on: February 26th, 2019

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Benjamin R. Masimbo akifungua Mkutano wa Baraza la Madiwani ulilofanyika  katika Ukumbi wa Halmashauri


Na, Lunanilo L. Ngela


Baraza la Madiwani Nanyumbu limekutana mapema leo ili kujadili mapitio ya Bajeti ya Halmashauri kwa Mwaka 2017/2018, nusu mwaka 2018/2019 na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2019/2020. Aidha, Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu inakadiria kukusanya Shilingi 24,361,006,904.00 katika mwaka wa Fedha 2019/2020.

Utekelezaji wa Bajeti ya Halmashauri unaongozwa na Dira ya Taifa ya Maendeleo (2025), Malengo ya Maendeleo Endelevu (2030), Mpango wa Pili wa Maendeleo wa miaka mitano (2016/2017 - 2020/2021), Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala (2015-2020), Mipango  Mikakati ya  Mkoa, Mpango Mkakati wa Halmashauri, Hotuba ya Mhe. Rais wakati akizindua Bunge la 11 pamoja na maelekezo mbalimbali ya Serikali.

Nanyumbu katika Bajeti ya Mwaka 2019/2020 imeweka vipaumbele katika kuongeza mapato ya ndani, upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, uboreshaji wa miundombinu ya Sekta ya Elimu na Afya, kuimarisha shughuli za kilimo, utafiti na uhifadhi wa mazao, uandaaji wa mazingira wezeshi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda, kukamilisha ujenzi wa stendi ya mabasi Mangaka ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Ulinzi na Usalama unaimarishwa.

Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu Mhe. Dua W. Nkurua akizungumza katika mkutano huo amewakumbusha watendaji wa Halmashauri kuhakikisha wanakusanya mapato kwa bidii ikiwa ni pamoja na kuibua vyanzo vipya vya mapato kwa Halmashauri ili kufanikisha utekelezaji wa miradi ya Maendeleo. Aidha, Mhe. Dua amemshukuru sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. John Pombe Magufuli kwa kuipatia Nanyumbu Fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo.

Ofisi ya Habari imeongea na Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Salumu A. Palango ambaye amesisitiza umoja na ushirikiano kwa watendaji wa Serikali ngazi ya  Wilaya ili kuharakisha maendeleo. Baadhi ya Wananchi waliozungumza na Ofisi ya Habari wameiomba Halmashauri kupeleka bajeti ya kutosha katika sekta ya maji ili kupunguza kero kubwa ya maji wanayoipata na hasa baada ya kumalizika kwa kipindi  cha mvua


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.