Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu,anawatangazia walioomba nafasi za kazi ya Dreva Daraja la III zilizotangazwa kupitia tangazo la kazi la tarehe 25.05.2022 kuwa usaili utafanyika tarehe 04/07/2022 katika ofisi kuu ya Halmashauri ya Wialaya ya Nanyumbu kuanzia saa 02.30 asubuhi.
kuona Majina ya walioitwa kwenye usaili bonyeza hapaWALIOITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DREVA III
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.