• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU KUTEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.

Posted on: January 21st, 2025

Na, Airin Lipuka.

Kamati ya Fedha , Uongozi na Mipango(FUM), ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati ambaye ni Diwani wa kata ya Masuguru, Mh Benjamini R. Masimbo, ilifanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo mitatu (3) katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu siku ya tarehe 21 Januari 2025, na kuona nini kimefanyika katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Kamati hiyo ilitembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa shule mpya ya sekondari ya kata ya kilimanihewa, jengo la la kupumzikia ndugu wa wagonjwa (majikoni) Hospitali ya mangaka, pamoja na ukarabati wa jengo linalokusudiwa kuwa ukumbi wa mikutano  wa halmashauri ya wilaya Nanyumbu liliopo maeneo ya CDC.

Kamati huangalia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuzingatia mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kazi zilizofanywa, usafi wa mazingira katika eneo la miradi ,muda wa utekelezaji wa miradi na matumizi sahihi ya fedha za miradi.

Aidha,  kamati hiyo imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi hiyo na kumpongeza mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya nanyumbu Ndugu Ibrahimu Mwanautaooo sambamba na wataalamu kwa kusiimamia maendeleo ya miradi hiyo na nakushauri kuwa miradi hiyo ikamilike kwa wakati sahihi ‘Ukaguzi huu wa miradi wa mara kwa mara unasaidia kutambua mapungufu yeyote katika utekelezaji wa miradi,  na hatua za kurekebisha mapungufu hayo huchukuliwa mara moja’. Alieleza mwenyekiti wa kamati Mh. Benjamini R. Masimbo.

 Kamati Fedha, Uongozi na Mipango( FUM) iliongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, Ndugu Ibrahimu Mwanauta, pamoja na wakuu wa  idara ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu.

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.