• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

Posted on: March 7th, 2025

Wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu leo tarehe 07 Marchi 2025 wameadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwa maandamano yenye Mabango yaliyojaa ujumbe wa haki, usawa na Uwezeshaji wa Wanawake na wasichana, Wakihamasisha jamii kupinga ukatili wa kijinsia na kushiriki katika Maendeleo ya Kiuchumi.

Maadhimisho hayo yaliyoanza kwa Maandamano kuanzia Ofisi ya Chama cha Mapinduzi Mangaka (CCM) Mpaka shule ya sekondari Mkapa na Hatimaye kuhitimisha maadhimisho hayo katika kata ya Maratani kwa Michezo na Mafunzo mbalimbali.

Akizungumza katika Hafla hiyo, Mgeni rasmi Afisa tarafa ya Maratani Ndugu, Yazidu Nangalunda , Ambaye Alimwakilisha Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu, Amewapongea Wanawake Kwa kutumia Fursa Zilizopo kwa Kujipatia Kipato na Kuboresha Maisha yao, akiwahimiza kuendelea kushirikiana na kusaidiana ili kuleta maendeleo ya pamoja.

Ndugu, Nangalunda , Ametumia Fursa hiyo pia Kueleza mazuri yaliyofanywa na serikari ikiwemo kuwawezesha Wanawake Kwa kutoa Mikopo isiyo na riba, Kuimarisha Huduma za Kijamii kama afya, Maji,Umeme na Elimu.

 Katika Hotuba yake Mgeni rasmi Ameitaka Jamii kuwashirikisha  na kuawezesha kikamilifu wanawake katika shughuli za maendeleo pasipo kuwabagua na kuwanyanyasa wanawake ili kufikia maendeleo kusudia sambamba na kuwakumbusha wananchi kuwapeleka watoto wakike kwa wakiume shule ili kuweza kutambua haki zao na maendeleo kwa ujumla.

Madhimisho hayo yalienda sambamba na utoaji wa taulo za kike kwa wanafunzi wasichana wa shule ya sekondari mkapa, utoaji wa fedha kiasi cha laki mbili tu (200,00/=)  kwa Mwanamke Kinara, ( Bi.Amina Mpili),  Utoaji wa bima za afya kwa wanafunzi wenye Mazingira magumu na Hatarishi.

@ samia_suluhu_ hassani

@ Mtwara _habari

@Newala fmtz

@Msemaji mkuu wa serikali

@magala christopher 75

@itv

@Ibrahimmwanauta

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • DC MAGALA AKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILLIONIMOJA SHULE YA MSINGI MWAMBANI.

    March 12, 2025
  • WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

    March 07, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.