• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yakabidhi hundi ya mikopo kwa vikundi vya wanawake vijana na walemavu

Posted on: May 21st, 2020

Afisa Mendeleo ya Jamii  Ndg. Philip Sengela (wa kwanza kulia) katika picha ya pamoja na maafisa maendeleo ya jamii pamoja na vikundi vya wanawake vijana na walemavu  


Na, Lunanilo L. Ngela

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu katika kutekeleza Sera ya utoaji wa mikopo kwa vikundi vya Wanawake Vijana na Walemavu katika Mwaka wa Fedha 2019/2020 imetenga Shilingi 162,309,800.00 ili kutoa mikopo kwa vikundi 50 vikiwemo vikundi 20 vya wanawake, vikundi 20 vijana na vikundi 10 vya Walemavu.

Mwenyekiti wa Halmashauri Ndg. Ahamad B. Mchopa akikabidhi Hundi ya Shilingi milioni 27 mapema leo, amewataka wanavikundi hao kuzitumia vizuri Fedha hizo ili kuwainua kiuchumi. Aidha Fedha hizo zimetolewa ikiwa ni awamu ya pili huku awamu ya kwanza Halmashauri ikiwa imetoa Mkopo wa Shilingi milioni 63

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg. Hamis H. Dambaya akizungumza katika hafla hiyo amesema kuwa Halmashauri itaendelea kutenga asilimia 10 kila mwaka katika mapato yake ya ndani ili kukopesha vikundi vilivyosajiliwa vya Wanawake, Vijana na Walemavu.

Nae Bi. Angela Aore akizungumza kwa niaba ya Afisa Maendeleo ya Jamii amesema kuwa, vikundi vilivyopewa mikopo vimepatiwa mafunzo ya uendeshaji na usimamizi wa miradi ya vikundi, utunzaji wa kumbukumbu za fedha na kalenda ya marejesho.

Vikundi vilivyopewa mkopo katika hafla hiyo vikiwakilishwa na Bi. Crala Simoni Awali (kutoka kundi la Walemavu) vimetoa shukrani zao za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli na Halmashauri ya Nanyumbu kwa kutoa fedha hizo ambazo zitawainua kiuchumi. Aidha, vikundi hivyo vimeahidi kuzitumia fedha hizo vizuri na kurejesha mikopo yao kwa wakati.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.