• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Naibu Waziri TAMISEMI afanya ziara Mtambaswala wilayani Nanyumbu

Posted on: August 15th, 2018

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Josephat Sinkamba Kandege (kushoto) akisalimiana na mmoja wa madaktari katika kituo cha Afya Mtambaswala

Kituo cha Afya Mtambaswala katika Wilaya ya Nanyumbu ni miongoni mwa vituo vilivyoingiziwa fedha kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kuboresha miundombinu. Kituo hiki kimepewa kiasi cha shilingi 400,000,000/= (milioni mia nne) ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa Serikali wa kuboresha miundombinu ya vituo vya Afya ili viweze kutoa huduma mbalimbali ikiwemo huduma za dharula za upasuaji kwa akina mama wajawazito.

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat  Kandege amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya kituo cha Afya Mtambaswala na kuagiza wakandarasi kupewa jengo moja moja ili kukamilisha ujenzi kwa wakati. Aidha, Naibu Waziri ameipongeza Wilaya ya Nanyumbu kwa kuagiza bidhaa za ujenzi moja kwa moja kiwandani ili kuhakikisha bidhaa zenye viwango bora zinapatikana kwa haraka tena kwa bei nafuu. Mhe, Josephat Kandege  amesisitiza kuwa kazi ya ujenzi wa miundombinu ya kituo hicho iende kwa haraka huku ikizingatia ramani mpya iliyoboreshwa.

      Miundombinu itayayojengwa kwa fedha hii ni:-

  • Jengo la upasuaji na Wodi ya akina mama
  • Wodi ya kulaza wagonjwa
  • Jengo la X-ray
  • Chumba cha kuhifadhia maiti

Kukamilika kwa miundombinu hii kutakifanya kituo cha Afya Mtambaswala kuwa kituo bora zaidi cha Afya Wilayani Nanyumbu. Pamoja na ukaguzi wa ujenzi wa miundombinu hiyo, Mhe. Naibu Waziri ametembelea daraja la Umoja kati ya Tanzania na Msumbiji ambalo ni kivutio kikubwa cha utalii Wilayani Nanyumbu na kusisitiza kuwa ni mhimu sana kituo hiki cha utalii kikitangazwa kwa nguvu ili kuongeza mapato ya Halmashauri.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.