• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Mangaka Sekondari Yakonga Nyoyo za Kidato cha Tano 2024

Posted on: July 12th, 2024

Na, Lunanilo Ngela

Wanafunzi waliochaguliwa na serikali kujiunga na kidato cha tano katika shule ya sekondari Mangaka, iliyopo Wilaya ya Nanyumbu Mkoa wa Mtwara kwa mwaka 2024, wameripoti shuleni hapo na kuanza rasmi masomo yao.

Wanafunzi hao wa michepuo ya Historia, Kiswahili na Kiingereza (HKL), Kemia, Biolojia na Jiografia (CBG), pamoja na Historia, Jiografia na Fasihi (HKLi), kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wameelezea furaha yao ya kujiunga na shule hiyo huku wakiahidi kufanya vema katika masomo yao.

Ikumbukwe kuwa shule hiyo ilikuwa shule ya kwanza kabisa kupokea wanafunzi wa kidato cha tano mwaka 2020. Kuanzishwa kwa kidato cha tano katika shule hiyo ilikuwa hatua mhimu ya kutimiza ndoto ya wananchi wa Nanyumbu ya kuwa na shule yenye kidato cha tano na sita.

Shule hiyo imetoa awamu tatu za wanafunzi waliohitimu kidato cha sita na kufaulu vizuri katika masomo yao. Mafanikio hayo makubwa ya kitaaluma yanatokana na juhudi kubwa ya walimu na wanafunzi, pamoja na mazingira bora na rafiki ya shule hiyo.

Nayo Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, kupitia mapato yake ya ndani, fedha kutoka serikali kuu, pamoja na nguvu za wananchi, imefanikiwa kujenga na kuanzisha shule zingine tatu ambazo kwa mwaka 2024 zimepokea wanafunzi wa kidato cha tano, ikiwemo Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkapa, Shule ya Sekondari Nangomba, na Shule ya Sekondari Nanyumbu.

Halmashauri hiyo inakaribisha wawekezaji kuwekeza katika sekta ya elimu, hususani katika ujenzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu. Wilaya hiyo ina ardhi ya kutosha, pamoja na miundombinu rafiki ya barabara na mawasiliano. Uwekezaji katika miundombinu ya elimu utakuwa na tija na manufaa makubwa, si kwa Nanyumbu tu, bali pia kwa Wilaya jirani ambazo bado hazina vyuo hivyo.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.