Shule ya Msingi Nahawara kwenye picha ni miongoni mwa shule ambazo ujenzi wa madarasa, Ofisi za walimu na vyoo unaendelea. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wa Wilaya ya Nanyumbu wameishukuru Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa Elimu kwa kuendelea kuitazama Nanyumbu kwa jicho la karibu. Pamoja na changamoto mbalimbali za uhaba wa Fedha, Halmashauri kwa kushirikiana na wananchi pamoja na wadau mbalimbali wa Elimu imeendelea na ujenzi wa miundombinu ya Shule za msingi na Sekondari katika kuinua kiwango cha Elimu.
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Postal Address: 246, Masasi
Telephone: 0232934112/3
Mobile:
Email: info@nanyumbu.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.