Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa ndg Amour Hamad Amour ameitaka serikali kutatua migogolo ya ardhi ambayo ipo na itakayojitokeza hapo baadae kwa kutenda haki kwa jamii nzima na kupamba na rushwa kwa kutumia ofisi zetu zilizopo katika vijiji kata na Wilaya ,pia amesisitiza wakulima kuacha kulima madawa ya kulevya ambayo mbaadae yatakuja kuiharibu familia yake na jamiii kwa ujumla na kuwafichua wote wanaosambaza madawa hayo na kula rushwa .Hayo aliyasema wakati akifungua Ofisi ya Kiji cha Makong’ondera ilopo Wilaya ya Nanyumbu
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Postal Address: 246, Masasi
Telephone: 0232934112/3
Mobile:
Email: info@nanyumbu.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.