Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu yatoamikopo kwa vikundi vya wanawake na Vijana . kati ya vikundi hivyo kikundi cha Vijana cha UVIMAWATINA chenye makazi yake Mangaka kimeamua kuanzisha mradi wa Kufyatua tofari za Udongo Cement, ambazo ni kati ya tofari za ujenzi wa harama naafuu na tayari kikundi hicho kimeanza kunufaika na Mradi huo kwa kupata oda za tofari maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya ya Nanyumbu.
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Postal Address: 246, Masasi
Telephone: 0232934112/3
Mobile:
Email: info@nanyumbu.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.